Sunday, March 31, 2013

Afunguka kilichomfanya atumie sindano ya kukuza 'makalio'

kabla ya kutumia
baada ya kutumia sindano

Mwanadada Vanity Wonder ameamua kuandika kitabu kusimulia kwa nini aliamua kutumia kiasi cha dola 15,000 kuchoma sindano za kukuza makalio.

Vanity mwenye miaka 30 mama wa watoto wa wawili wa nchini Marekani kabla alikuwa mwembamba tu hana makalio.

Anasema wanawake wengi hufikia hatua hiyo sio kwa lengo la kuwavutia wanaume bali kutoridhika na anachokiona kila anapojiangalia kwenye kioo.

Vanity anavyoonekana sasa baada ya kukuza hips na makalio.Anasema ameamua kuandika kitabu kuelezea ukweli kwa nini aliamua kufanya hivyo

Thursday, March 7, 2013

WALE WA RIHANNA, HII FASHION YAKE NI POA AMA SIO POA?

RiRi amezindua Collection yake ya River Island ambapo hizi double top jeans ni moja ya bidhaa zake huku moja ikiuzwa kwa USD 150, Umeonaje huu ubunifu wa kuitengeneza?